Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.
Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na karibu na kiwanda cha nyuklia cha Iran.
Muda wa kutokea kwa tetemeko hilo na ukaribu wa tetemeko na kituo cha nyuklia kumesababisha uvumi mkubwa kwamba huenda Iran ilifanya jaribio la bomu la nyuklia.
Ingawa uvumi huo bado haujathibitishwa wala kukanushwa na afisa yeyote kutoka Iran, baadhi ya watu wamekuwa wakishare ramani na michoro kupitia mitandao ya kijamii wakieleza namna ambavyo ikawa tukio hilo huenda likawa ni la nyuklia.
Source: Hindustan Times
My take: Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke yao mbali sana na Iran.
Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.