Iran yapata kibali na Russia kuanza kutengeneza SU-30 na SU-35

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,166
Huku Africa tukiwa bize kubishana kupeleka maji vijijini wenzetu Iran wanaanza kuzalisha ndege hatari za kivita za SU-30 na SU-35

️BREAKING

Iran has received a licence from Russia to produce SU-35s and SU-30s in Iran - Khiyal moazen, Iranian journalist

If true, it is a good deal for the exchange of the Shahed-136s production line inside Russia
 
Hizo ni Stori tu mrusi sio fala kiasi hicho kugawa teknolojia yake kindezi
Production sahiv inafanyika kwa supply chain... anaweza Iran kutengeneza 75% na Russia akaenda kumalizia hiyo 25% ambayo ina include hizo sensitive technology.

Sawa sawa ya anachokifanya Apple au Tesla kuwa na viwanda China. Ila mwisho wa siku lazima bishaa zikamaliziwe US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…