Iran yaituhumu Israel kifo cha Rais wao, chopa iliyoanguka ilikuwa na vifaa vya mawasiliano sawa vile vya Hezbollah vilivyolipuka

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,212
7,244

Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter​


Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho

Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano pagers ambayo vilitumiwa na magaidi ya Hezbollah

Yasema kuwa hata chopa iliyoanguka ikimbeba Rais wao chanzo chake siyo hali ya hewa Bali ni mkono wa yahudi

Yahutimisha kuwa chopa hiyo ilitumia vifaa vilevile walivyotumia Hezbollah

Soma Pia: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Report: Senior Iranian official says Hezbollah pager could have caused helicopter crash that killed Raisi​

Today, 5:31 pm 13

The helicopter carrying Iran's President Ebrahim Raisi taking off at the Iranian border with Azerbaijan, after the inauguration of the dam of Qiz Qalasi, in Aras, on May 19, 2024. (Ali Hamed Haghdoust/ Islamic Republic News Agency (IRNA)/ AFP)
A senior Iranian official reportedly says Tehran was involved in purchasing the pagers held by Hezbollah operatives that exploded across Lebanon last week in an attack widely blamed on Israel, and hinted that such a device could have been responsible for the helicopter crash that killed Iranian president Ebrahim Raisi in May.

In a post on X, Europe-based Iranian journalist Mohamad Ahwaze reports that Ahmad Bakhshayesh Ardestani, a member of the Iranian parliament’s National Security and Foreign Policy Committee, said that Hezbollah had been hacked and confirmed that Raisi had one of the compromised pagers.

At least 30 people were killed and thousands injured when pagers and walkie-talkies used by Hezbollah operatives exploded across Lebanon on Tuesday and Wednesday, in a coordinated attack widely blamed on Israel after months of cross-border fire.

Earlier this month, Iran’s official investigation into the May crash determined that it was caused by bad weather, after the helicopter carrying Raisi and his entourage came down on a fog-shrouded mountainside in northern Iran, killing the president and seven others, and triggering snap elections.

 
wafia dini ya shetani ya mudi waione hii kwenye faili
 
Iran bado sana. Yaani jambo dogo kama hilo walishindwa kung'amua?.

Mbona mimi mnyaturu wa Iramba nilijua hilo mapema sana.
Shida ni kwamba wakati tunawaambia akina malaria2 kwamba huo ni mkono wa Yahudi wao walikataa kishabiki na kusema ni hali mbaya ya hewa.

Na myahudi kukingiwa kifua na pro Iran ikawa furaha kwake kwamba ngoja niendelee kuwawahisha Kwa wanachokitaka.
 
Shura ya maimamu ubwabwa nazi wa JF walikuwa kimbelembele maandazi kuwafichia aibu Iran, leo wameumbuka peupee wanapita kwenye huu uzi kimyakimya kama hawauoni vile.
Huwa tunawaambia humu Iran hana ubavu wa kumfikia Israel wao daima hukaza fuvu maana wameshiba vijitende vya misaada hivyo lazima waisifie Iran
 
Case closed haifunguliwi tena.. final report ilishatoka.. acheni uzushi... kabla ya uchunguzi labda kama walisahau kusema inshallah...
 
Mbona habari haina substances wala source!?..
 
Hizi habari za kipropaganda zitawafikisha wapi!??
 
Kubwa la magaidi litapata.tabu sana mwaka...bado Ayatollah tu
 

Mwambieni na yule mtu wenu aliyejinasibu kujibizana na mabalozi wa Hawa watu kwamba achukue tahadhari kubwa sana dhidi ya hao Watu, ikiwezekana aitishe press nyingine ili awaombe msamaha. Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Kiburi si maungwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…