Iran walikana kuwasaidia hawa Wahuni je, kwa Kitendo cha Muhuni na Mpumbavu Kufia ndani yao tena Nyumbani Kwake hakujawaumbua Mchana kweupe?

Israel ameingia ndani ya Iran anafanya mambo magumu kabisa. Wale washabikia vita waangalie vita inavyoleta misiba na maumivu, bila kujali ni pande gani
 
Nakuona 'Wakubinuka' ulivyoumia na Taarifa tamu iliyonifurahisha.
Mie niko pragmatic na suala la Israel na Palestina, sio dogmatic nikiamini Israel, wajukuu wa Abarahamu, ni kama binamu zao malaika wa Mungu
Nakuona 'Wakubinuka' ulivyoumia na Taarifa tamu iliyonifurahisha.
Kuhusu suala la Israel na Palestina, mimi niko pragmatic, sio dogmatic wa kuamini kwamba Israel, wajukuu wa Abrahamu, ni sawa na binamu za malaika na hivyo wako above the law wanapaswa kuabudiwa na nchi nyingine duniani. Ni mtu mjinga tu ataona Israel kama taifa lenye undugu na Mungu tofauti na watu wengine duniani, sasa mimi sio mjinga.
 
Back
Top Bottom