Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,192
50,280
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel huwa hatangazi.
Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo. Iran imepoteza majemedari saba. Israel imepoteza binti mmoja

================

Supplied Tel Aviv is our battleground not Tehran, says a propaganda billboard in the Iranian capital

Supplied "Tel Aviv is our battleground not Tehran", says a propaganda billboard in the Iranian capital

Tehran is tense, two days after Iran's unprecedented direct attack on Israel.

Worried about war and its impact on Iran's already flailing economy, a significant proportion of Iranians oppose what they see as the reckless adventurism of the country's elite Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), which fired more than 300 drones and missiles on Saturday night.

In a letter sent to BBC Persian, a long list of Iranian activists both inside the country and abroad criticised the IRGC's actions and saying "No to warmongering!"

Many Iranians also see the Iran-Israel confrontation now emerging from the shadows as being orchestrated by the Iranian government rather than reflective of the will of the Iranian people.

This perception is underscored by a heavy police presence on the streets of Tehran - ostensibly about enforcing strict Islamic dress codes requiring women to cover their hair but which many suspect is mainly about crushing any possible protests.

Source: www.bbc.com
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?

Kambi ya Negev, na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35, zilizoshambulia ubalozi wa iran Syria, ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za Israel.

Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA, kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.

Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.

Unaongea upuuzi mwingi, kazi imeanza huko full charge.
Atapigika mtu mpaka aite maji mmaa
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.
Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.

Mpaka sasa matokeo, wazee wa kubet
Iran imepoteza majemedari saba
Israel imepoteza binti mmoja

Haya magobore mliyatuma kwa mamia na yalifaulu kumdhuru binti mmoja tu, wavaa dera ifike mpate aibu brazaj

592527
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.
Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.
Na hiki ni kiashiria kibaya kwa kuwa ana onekana yupo mwenyrw akifanya kaz ya urusi kama mshirika aliyemafichoni ktk hili

Hawa walio jitokeza kuungana na israel kuzuia mashambulizi wana weza jitokeza kuishambulia iran pia

Propaganda ni kuwa hawaiungi mkono israel ktk kuishambulia iran, lakini sio kweli sababu wana maslahi ni israel kuliko iran na hawapo tayari kuiona israel inapotea ndio maana nyakati zote wana simama na israel iwe amekosea au yupo sahihi

Gharama zilizo tumika ni jambo la kawaida kwa kuwa dunia nzima majshi ndio yana chukua uwekezaji mkubwa sana ktk nchi, hakuna jeshi la tsh 10,000.00 au 100,000.00

Uwekezaji ktk jeshi ni gharama, vita ni gharama pia na ukiwa na uchumi mbovu utakuja kuwa na madeni sugu. Ukraine ana pambana na madeni, uchumi na vita nk

Pia israel qna mpango wa miaka mingi kushambulia vinu vya nuklia vya iran, na alikuwa ana tafuta sababu za muda mrefu kweli. Na hapa ndipo hofu ya iran kuto kujua shambulizi la kushtukiza litaenda wapi? Na ikiwa ktk vinu ina maana kuna hasara kubwa kwa iran na raia wake

Mara kadhaa wausrael walikamatwa iran wakifanya uspy, mara kwa mara wameua wana sayansi wa iran huko huko iran na marekan akihusishwa ktk haya na hawezi kusema ni muhusika

Kumbuka wana kauli zao kuwa hawa shirikiani wala kukaa meza moja na magaidi au waalifu. Je ni kweli? Kuna tuhuma nyingi sana zikiielekezwa marekan kushirikiana ns makundi mbalimbali ya wana mgambo mashariki ya kati na ya mbalmfano hai telban huko afghanstan
 
Hata Israel kwa kipindi wanasubiri mashambulizi ya Iran waliishi kwa hofu kwenye mahandaki! Hakuna asiyehofu katika vita!
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.
Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.
Hizi story utakuwa umepewa na Dr.Sule
 
Najiuliza hivi Iran akishambuliwa kwa missiles na drones nyingi say 200 kama alivyoshambuliwa Israel yeye ataweza ku control madhara au ndo itakuwa majanga?!.
Kwasabb mbali ya kusaidia na washirika, Israel huwa pia wako vzr kwenye mdumo wa anga.
Hata kila walichokuwa wanapanga Iran ikiwamo maandalizi hadi siku wanavurumusha hayo makombora adui alishagundua na kujiandaa!.
 
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia....maana tatizo la Israel huwa hatangazi...
Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo
Iran imepoteza majemedari saba
Israel imepoteza binti mmoja
=================

Supplied Tel Aviv is our battleground not Tehran, says a propaganda billboard in the Iranian capital
Supplied
"Tel Aviv is our battleground not Tehran", says a propaganda billboard in the Iranian capital

Tehran is tense, two days after Iran's unprecedented direct attack on Israel.

Worried about war and its impact on Iran's already flailing economy, a significant proportion of Iranians oppose what they see as the reckless adventurism of the country's elite Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), which fired more than 300 drones and missiles on Saturday night.

In a letter sent to BBC Persian, a long list of Iranian activists both inside the country and abroad criticised the IRGC's actions and saying "No to warmongering!"

Many Iranians also see the Iran-Israel confrontation now emerging from the shadows as being orchestrated by the Iranian government rather than reflective of the will of the Iranian people.

This perception is underscored by a heavy police presence on the streets of Tehran - ostensibly about enforcing strict Islamic dress codes requiring women to cover their hair but which many suspect is mainly about crushing any possible protests.
Weqe uko Iran pande zipi nikucheki ?
 
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.
Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.
Na huo ndio ukweli,ila kuna watu wao ni ushabiki tu,wa amini propaganda za magharibi bira uhalisia.
 
As longer as IRAN ni taifa lenye wayahudi wengi basi mission na operation za chini chini zitapigwa kwa kutumia raia wa IRAN wenye asili ya kiyahudi. Tahadhari kwenye masoko na mikusanyiko popote pale TEHRAN.
Nakumbuka kule BEIRUT bandarini kulikuwa na meli imejaza mapipa ya AMMONIUM NITRATE aseeee kulikuwa na harusi wanasherekea aseee kumbe mazayuni yameshapanga mpango. Aseee watu walikufa siku iyooo.
 
Najiuliza hivi Iran akishambuliwa kwa missiles na drones nyingi say 200 kama alivyoshambuliwa Israel yeye ataweza ku control madhara au ndo itakuwa majanga?!.
Kwasabb mbali ya kusaidia na washirika, Israel huwa pia wako vzr kwenye mdumo wa anga.
Hata kila walichokuwa wanapanga Iran ikiwamo maandalizi hadi siku wanavurumusha hayo makombora adui alishagundua na kujiandaa!.
Wakati mwingine muwe mna angalia hata takwimu,kati ya Israel na Iran ni yupi yuko vzr ktk anga.
 
Hata Israel kwa kipindi wanasubiri mashambulizi ya Iran waliishi kwa hofu kwenye mahandaki! Hakuna asiyehofu katika vita!

Pale Israel ilikua lazima wangepata wasiwasi maana hakuna mtu alikua anajua uwezo wa Iran, ni kawaida hata wewe hapo kitaa kabla haujapigana na mtu ngumi unapata wasiwasi maana haujui uwezo wake, ila sasa licha ya Iran kutumia nguvu zake nyingi tumeona haina chochote zaidi ya kumdhuru binti wa Israel.
Imetuma mamia ya haya magobole yakapigwa chini

main-qimg-d592046583f080c025788344638a5ac9
 
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia....maana tatizo la Israel huwa hatangazi...
Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo
Iran imepoteza majemedari saba
Israel imepoteza binti mmoja
=================

Supplied Tel Aviv is our battleground not Tehran, says a propaganda billboard in the Iranian capital
Supplied
"Tel Aviv is our battleground not Tehran", says a propaganda billboard in the Iranian capital

Tehran is tense, two days after Iran's unprecedented direct attack on Israel.

Worried about war and its impact on Iran's already flailing economy, a significant proportion of Iranians oppose what they see as the reckless adventurism of the country's elite Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), which fired more than 300 drones and missiles on Saturday night.

In a letter sent to BBC Persian, a long list of Iranian activists both inside the country and abroad criticised the IRGC's actions and saying "No to warmongering!"

Many Iranians also see the Iran-Israel confrontation now emerging from the shadows as being orchestrated by the Iranian government rather than reflective of the will of the Iranian people.

This perception is underscored by a heavy police presence on the streets of Tehran - ostensibly about enforcing strict Islamic dress codes requiring women to cover their hair but which many suspect is mainly about crushing any possible protests.
Uharo mtupu

Iran kaishafanya yake kawashambulia mabwana zetu Iran Bana 😀

Wewe si ulikuwa unakesha JF kusema Iran ikitaka kufutwa irushe hata jiwe Israel mkawa mnakubaliana na walokole wenzako😀

Leo umekuwa msemaji wa Iran daah mabwana zako hawaamini kilichotokea wanasema Iran wamuwekee vikwazo vya makombora😀

Walidhani Iran ni Gaza.
 
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia....maana tatizo la Israel huwa hatangazi...
Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo
Iran imepoteza majemedari saba
Israel imepoteza binti mmoja
=================

Supplied Tel Aviv is our battleground not Tehran, says a propaganda billboard in the Iranian capital
Supplied
"Tel Aviv is our battleground not Tehran", says a propaganda billboard in the Iranian capital

Tehran is tense, two days after Iran's unprecedented direct attack on Israel.

Worried about war and its impact on Iran's already flailing economy, a significant proportion of Iranians oppose what they see as the reckless adventurism of the country's elite Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), which fired more than 300 drones and missiles on Saturday night.

In a letter sent to BBC Persian, a long list of Iranian activists both inside the country and abroad criticised the IRGC's actions and saying "No to warmongering!"

Many Iranians also see the Iran-Israel confrontation now emerging from the shadows as being orchestrated by the Iranian government rather than reflective of the will of the Iranian people.

This perception is underscored by a heavy police presence on the streets of Tehran - ostensibly about enforcing strict Islamic dress codes requiring women to cover their hair but which many suspect is mainly about crushing any possible protests.
Hivi brother hua unapata muda wa kufua kufuli
 
Back
Top Bottom