Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
12,247
38,811
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

IMG_20240405_104327.jpg
 
Acha ushabiki na badala yake jielimishe na kufatilia mambo. Kuna watu mnaandika vitu vinaonesha hasa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Hao wakipigwa mtaanza kuja kulalamika.

Dont be stupid hakuna nchi ya Middle East inaweza hata nusu kufikiria kupigana na Israel. Hiyo Iran kila siku anauawa majenerali wake Iran kwenyewe, Iraq, Syria na Lebanon na wamefanya nini? Aliuawa their top General na wa kutegemewa Qassem Solemani wakaishia kutishia tu na sasa hivi wako kimya.

Unatia aibu halafu umeweka nembo ya Taifa.
 
Wazari Mkuu wa Dola ya Umedi na Uajemi (Iran) Hamani bin Hamedatha, Mwagagi alishindwa kuwaangamiza Wayahudi miaka mingi iliyopita kabla ya Mfalme wa Wafalme hajazaliwa. Silah Ile ile aliyoiandaa Waziri Mkuu wao ili kumtundika Mordekai (Israel)badala yake wakamtumdika yeye Mwenyewe Waziri Mkuu .

Kabla hajateka Yerusalem atatekwa mwenyewe na kuondolewa kwenye Utawala
 
Mbona unaropoka sana bro??
Retaliation ya Qassem Soleiman ilikua kulipua kambi ya US iraq na ilifanikiwa.
Kuuliwa kwa majenerali kisasi kimelipizwa kupitia hizbollah.
Unajua Hizbollah amepafanya North Israel hapakaliki??
Unajua kama kambi kubwa North Israel mbili ikiwemo Galilee zimeteketezwa??
Iran hulipiza kisasi kupitia proxy wake Hizbollah na Houthi.
Usijitoe akili,USA yenyewe imeshindwa kuiteketeza Iran sembuse Israel??
Israel kila leo hujificha nyuma ya USA ili kujilinda na Iran.Na kama vita ikitokea ataepigana na Iran ni NATO na USA sio Israel.
Hamas tu mwezi wa 6 wamemshindwa ataweza kupigana na Iran???
Amalizane na Hamas na Hizbollah kwanza,Iran ni mfupa mgumu,Iran sio muarabu ni muajemi kaa ulielewe hilo.
 
Wazari Mkuu wa Dola ya Umedi na Uajemi (Iran) Hamani bin Hamedatha, Mwagagi alishindwa kuwaangamiza Wayahudi miaka mingi iliyopita kabla ya Mfalme wa Wafalme hajazaliwa. Silah Ile ile aliyoiandaa Waziri Mkuu wao ili kumtundika Mordekai (Israel)badala yake wakamtumdika yeye Mwenyewe Waziri Mkuu .

Kabla hajateka Yerusalem atatekwa mwenyewe na kuondolewa kwenye Utawala
Unakaa na kushikilia historia!?
Pole sana.Kama tungelikua twashikilia historia basi mpaka sasa UK ingekua taifa lenye nguvu kama ilivyo zamani kipindi inaitwa Great Britain.
 
wengine waliwavamia usiku wa mane wakateka watu, kipigo kilichofuata tukasema mauaji ya kimbali, mwajemi anatafuta huruma ya Dunia.
Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

Atavuliwa hilo dera, hehehe!!!
 
Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
Mimi ni kibishana na wewe tunasumbuana bure mwajemi ajaribu ndiyo litathibitika hilo la lunch jerusalemu.
 
Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
kwani hao waliotekwa na hamasi ni wanajeshi? raia tena wako uchi baada ya shughuri ya ndoa.
 
Onhooo!?
Kwahiyo unaleta hilo tukio kufanya justification ya kuua raia mpaka watoto hospitalini??
Hao wametekwa ila IDF badala ya kuwasaka Hamas wanaua hovyo juzi wameua raia wa kimarekani kabisa walioenda kutoa msaada Gaza tena deliberately (kwa makusudi).
Pia unazungumziaje suala la Israel kukamata watoto under 12 years of age na kuwafunga jela za jeshi pasi na makosa!?
 
Back
Top Bottom