chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 9,373
- 20,103
Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko.
Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya ITV napo sikia mkoa fulani kuna manguri ambao nahisi habari zimekamilika.
Upande wa redio one nako kama watufanya kijiona tunaishi maisha yaliyopita mda mrefu.
Kuna watangazaji inabidi sasa kuwapa kongole waliopo IPP media na waliotoka .
Wa kwanza kwangu ni Farid karim wa ITV yani huyu mzee tokea kuijua ITV inaanzishwa nikisikia tu sauti yake najua znz.
Kuna wengine mtutajie wote maana ITV ilikuwa rahaa na redio one.