Wakuu habari za majukumu natumaini mpo poa?
Kama kichwa cha habari kinavyosema,nimereset simu yangu sasa baada ya kureset tu nikitaka kufungua browsers i.e chrome/mozilla /internet browse ngoma hazitaki hadi niunge Wi-Fi ya mtu nimejaribu kuset uwezo ukaishia kwenye kitu kilichoandikwa (IPP ADDRESS unavailable) lakini kutumia vitu vingine kama insta,facebook na apps zote nilizodowload kutoka play store zinatumika vizuri tu isipokuwa zile nilizodownload kutoka kwenye browse i.e tubemate,megabox,n.k zinaandika UNABLE TO CONNECT TO PROXY SERVER OR NO CONNECTION TRY AGAIN LATER yani hadi niunge Wi-Fi ndo zinakubali. Msaada wenu tafadhali ndugu zangu wataalamu. Natanguliza shukrani.