Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu wengne na kujijenga yeye.
Anajisafisha na kujitanabaisha alikuwa ni mtu mwema, kiongozi shupavu na jasiri. Mpaka sasa anamuheshimu mwendazake na ndiye bosi wake wa moyo wa mda wote. Ndio mana anaishi falsafa zake na ndio anazohubiri, falsafa hizo zinalengo la kuwaibua wale walompenda na kufanya aonekane yeye ndo mrithi sahihi, Wale walompenda Mwendazake sasa watampenda huyu kwa heshima na kweli na watamuimba kama shujaa wao na hakuna atakae weza kuzuia.
Mama Falsafa yako ilitanabaisha watumishi wa serikali wasifanye kazi kwa woga, bali kwa weledi na nidhamu, ila falsafa inayohubiria majukwaani kwa sasa ni hofu na umaarufu wa mtu. Kwa vile watumishi wengi wa serikali ni waoga, wamejengwa kuogopa wanasiasa, zile zama za woga zinarudi, na hakika watumishi na wateule wako wote wanamuogopa huyu kuliko kiongozi yeyote ktk taifa hili, huku akijijenga kwa wale wananchi mnaowaita walalahoi na wanyonge wamuone ndiye kiongozi pekee mwenye udhubutu na kukemea maovu.
Hakika nakwambia, watanzania wanataka kiongozi anayesema na kutenda, anayeonya na kukemea kweli kweli, anayewajibisha watumishi wa umma wazembe na wabadhirifu wa mali za umma na hii ndio beat anayotembea nayo Mwenezi.
Asipofundwa vizuri atakufarakanisha na wale uliokuwa umeanza kupatana nao, haki uliyoitengeneza na kuipigania itapotea. Mhe raisi binafsi naamini unafanya kazi nzuri sana na nakupenda kwa dhati kwa sababu unapenda haki na usawa kwa wote lakin nakuomba usiamni sana hawa wasaidizi wako, wengi wao wanaangalia vyeo na matumbo yao,usiwakumbatie sana kana kwamba bila wao nchi haitaenda, kuna wateule wako wanakuharbia halafu wanakusifia wakiamn utafurahishwa na hizo sifa. Maagizo yako hawayatekelezi kabisa na wanafanya yao kwa mgongo wako.
Ole wenu msipotafta namna ya kumfunda, ipo siku yaja hamtaweza kuyazuia mafuriko, Kama lengo ni kumjenga kuwa kiongozi basi ni vema mkamjenga sawasawa kwa sababu kama atabadilika ni kiongozi mwenye udhubutu na huenda akaleta Mabadiliko katika nchi, anahulka ya kupenda Maisha ya kifahari lakini anachukia wengine wanaoyaishi, anapenda mamlka na kuamuru lkn hapendi anayemzidi mamlaka, anapenda kusaidia watu na anataka ajitanabaishe ni yeye pekee mwenye huruma na moyo wa kusidia watu, anapenda kuonekana ni mcha Mungu kuliko wanaosimama madhabahuni.
Maisha yamekuwa magumu sana mtaani, Mama sekta bnafsi zinazofanya kazi na serikali hasa zinazolipwa na pesa kutoka HAZINA hazilipwi kwa wakati na kusababisha baadhi kuzorota au kufa hasa za wazawa, umeme umekuwa ni tatizo na kero kubwa sana kwa wananchi, watu wanategemea umeme kufanya shughuli zao zinazowaingizia kipato na kuendesha Maisha yao lkn umeme umekuwa ukikatika kila uchao jambo linalowafanya wananchi kuanza kuchukia serikali. Zaidi Viongozi wa serikali wengi hasa wateule wako wanaishi Maisha ya kifahari na bila shaka kero ya umeme kwao haiwapati
Iwe jumapili njema kwenu,Maandiko yanasema ‘basi sasa msiwe watu wa kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa, maana nimeskia kwa Bwana, Bwana wa majeshi. Habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa.