Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
45,348
63,944
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,

Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Edward Teller-bomu la Hydrogen
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Baruch Blumberg-Chanjo ya homa ya ini
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Karl Landsteiner-makundi ya damu
Rothschild family-benki kimataifa
Sigmund Freud-Saikolojia
Leon Trotsky-Namba 2 mapinduzi ya kijamaa Russia 1917
Noam Chomsky
Selman Abraham Waksman-Antibiotics

Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.

Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
 

Attachments

  • IMG_9925.jpeg
    IMG_9925.jpeg
    649.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom