Gan star
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 379
- 982
Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila naamini ubora unapishana somehow.
Chief-Mkwawa , Mwl.RCT
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa , Mwl.RCT
Natanguliza shukrani