navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 185
- 221
Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba.
Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling 100,pia kujengea hizi tofari unaweza tumia udongo bila cement. Chamsingi renta lazima uweke..
Pia,hapa nilipo tofari ya block mpaka site ni shilling 1200,
Je kipi itakua nafuu kutumia katika ujenzi kati ya hivyo viwili.ukizingatia gharama, usumbufu,uimara na muonekano wa nyumba..