Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,542 4,117 Mar 22, 2016 #1 Habari.. Nahitaji kuchajisha simu kwa kutumia betri ya gari. Ni betri gani imara ya kutumia ya solar battery, za gari zinazotumia maji... Na za gari zisizotumia maji. NB: nitatumia katika form ya ac sio dc
Habari.. Nahitaji kuchajisha simu kwa kutumia betri ya gari. Ni betri gani imara ya kutumia ya solar battery, za gari zinazotumia maji... Na za gari zisizotumia maji. NB: nitatumia katika form ya ac sio dc