Wakuu nina mdogo angu apa kamalza kidato cha nne na anataman kujiunga na koz mojawapo tajwa apo juu lkn anashindwa akamue ipi #na zote anapend!!.....ip ni nzur kushinda engne
Wakuu nina mdogo angu apa kamalza kidato cha nne na anataman kujiunga na koz mojawapo tajwa apo juu lkn anashindwa akamue ipi #na zote anapend!!.....ip ni nzur kushinda engne
Umeme wa magari mkuu, najuta kwanini sikusomea vocational courses kama hizo...
Kazi za ufundi nyingi na za uhakika we unapigiwa simu tu ukigusa gusa nyaya kidogo laki 3 hio,
I.T kibongobongo utakufa njaa bure tu hawathaminiwi, mi nna magamba nmeishia kuunda website za laki na nusu tena kwa msimu!
We ina maana hujasikia tangazo kuwa wataalamu wa ICT wataletwa kutoka Kigali mkuu?