ipi iko poa kwa budget ya kawaida

emboaba

Senior Member
Oct 5, 2014
143
117
nmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza shukran
 
nmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza shukran

Galaxy J1 kama unapenda software updated kidogo coz hii inatumia kitkat...au tafuta s2 kama unaweza tumia gingerbread.....hizo ni mpya kwa hiyo bei.....pia waweza pata second hand s3 yenyewe inatumia jelly bean...
 
Sema hizo j1 zina 4GB internal na RAM ya 512MB.....ya kawaida sana...hizo nyingine kidogo zinaspecs kali....ingawa j1 kwa kamera nao wako poa....pia tembelea Jumia unaweza pata deals nzuri zaidi kwa hiyo bei!
 
n
nmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza shukran
narecomend galaxy core prime hutojuta tena tafuta ya single line model SM 360-F hiyo ipo vizuri sana coz pia ina 4G LTE na suppotive bands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…