Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

The introvert

JF-Expert Member
Sep 15, 2023
587
1,275
Habari zenu wakuu,

Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt.

Je ipi ni bora?
 
Jamani kwa hiyo hamna yeyote anaeyafahamu kuhusu hili swala?
Msaada wenu tafadhali
 
Soma chochote moyo wako unapokupeleka sababu huku mtaani professionals hazitumiki sana au unaweza usitumie kabisa ukafanya ile kitu upo Gifted na Mungu.
The goal ni kutoboa Maisha, so elimu kubwa ipo kitaa.
 
Sawa ahsante mkuu
 
Environmental science iko poa sana, ikapambane na wachafuzi wa mazingira ,,, kelele, vyanzo vya maji, taka ngumu nk
 
Anyone

Anyone can be a safety officer,ila kuwa health officer inabidi ule shule ya Enviromental health sciences
Naomba unieleweshe mm nataka nikapige environmental health and safety management , nikirudi kazini kwaajili ya Recategorizatio nakuwa Nani ,? Hivi naweza kuwa categorized Kama Nani ,2.Nitabaki TGHS au nitahamia TGS , naomba mwenye uelewa make mm Ni MATT nataka kupiga hii course
 
Mimi ni fresher sina uelewa katika hili ila nachofahamu degree inayotolewa ni ya environmental health science tu bila ya safety management
 
Back
Top Bottom