Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Si kweli, simu zenye camera nzuri ni Nokia 808, Lumia 1020, Galaxy k zoom, Panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone.

Zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.

Kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi.
 
samyz,
Flash yake ni xenon inagandisha hadi vitu vinavyotembea, ina mwanga zaidi, ni bora sana compare na LED flash inayotumika kwenye simu za kawaida.

Bei around $200 hivi online ila Lumia hazipendwi sana hapa Tanzania unazipata bei rahisi cheki kupatana. Bei elekezi mpya isizidi 600,000.
 
Hiv chief kitu kinachofanya simu itoe picha nzur ni software au hardware eb nielekeze apo mkuu
 
Hiv chief kitu kinachofanya simu itoe picha nzur ni software au hardware eb nielekeze apo mkuu
 
si kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.

kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
Mkuu hizi ulizozitaja zimekaa kikazi zaidi, ila kama kwa matumizi ya kawaida iphone wapo vizuri sana kwenye camera
 
Samsung galaxy s7, Sony Xperia z5, Samsung Galaxy s6, Samsung Galaxy Note 5, HTC10, one plus 3, LG g4, LG G5, Nexus 5x/6p..unaziacha wapi labda?

Hata note 4 camera yake ni better kuliko 5s.
Mkuu asante ila japokuwa umeenda mbali sana adi kwenye latest kama s7
 
Mkuu hizi ulizozitaja zimekaa kikazi zaidi, ila kama kwa matumizi ya kawaida iphone wapo vizuri sana kwenye camera
Afu then naskia izi iphone zina camera software ambazo zinafanya pic zake ziwe nzur zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…