S statement_ Member Sep 11, 2016 10 4 Apr 7, 2017 #1 Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
jerrytz JF-Expert Member Oct 10, 2012 5,975 4,264 Apr 7, 2017 #2 Ndugu statement, sijaelewa unataka kuweka (kutoka kwenye device nyingine) muziki iTunes au kupakua(ku -download kutoka iTunes store) maana naona umetumia maneno yote mawili kuweka na kupakua!
Ndugu statement, sijaelewa unataka kuweka (kutoka kwenye device nyingine) muziki iTunes au kupakua(ku -download kutoka iTunes store) maana naona umetumia maneno yote mawili kuweka na kupakua!