Phone4Sale iPhone 13 Pro

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
4,229
9,993
Iphone 13 pro .
Used Uk.
In very good condition
Gb 128
Bh 84.
TT✅
1.5ml only.
Comes with a box.
Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only.
0752850081
0783869998
Nipo DSM Ubungo.
Screenshot_20240603-100320.png
Screenshot_20240603-100311~2.png
Screenshot_20240603-100354~2.png
Screenshot_20240603-100328~2.png
Screenshot_20240603-100311~2.png

Screenshot_20240603-100320.png
 
Huyo nimemvua siku nyingi. Natafuta mbinu ya kumuweka kwenye ignore list asicoment post zangu huyo.
Ebwanawee km umenifuma na Mkeo kwani shida nini kukuuliza na umesema mwenyewe iPhone 2 ni 1.45Ml only au ni Mimi nimesema? Ungekua Mods wewe nahisi ungeifuta account yangu JF nisikanyage kabisa Ila umefeli ukiignore nitakutimbia na Mapacha wangu km 100 utaignore wangapi?

Midekoo ebu njoo huku uchague iPhone
 
Unanijua unanisikia?

Yaani ningekua mod week mbili zilizopita hii account isingekuwepo. Na hao mapacha wako mia ningepita nao. Maana ungejifahamisha tu. Kwa akili yako navyoifahamu kwa humu.
Tunaepuka kupishana mitandaoni, Endelea na shughuli zako ndugu.
 
Kwani nimekufanyaje Mkuu funguka una tatizo gani na Mimi ili nikurekebishe
 
Max naomba baadhi ya forums tuanze kulipia members fee ili u serious uwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom