Phone4Sale Iphone 12 Pro Max 256 GB

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
30,780
90,090
Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu.

Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi.
Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu.

Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu.
Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata kadi ya gari nitaweka.

Simu ni
Iphone 12 pro max
256gb
0659445718
Bei milioni 2
Bh 95%
Full boxed

IMG-20221005-WA0008.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom