Na anthonia anajua kuwa Ronaldo ni mtu WA mababies na anaongoza kwa mihela so hapo Messi lazima pressure iwe juu na ukichukulia na Leo Ronaldo wakiitoa Wales anaingia fainal na kuwa na nafasi kubwa ya kubeba tuzo ya Ballon 'dior hapo Messi lazima macho yamtoke.