Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,364
- 1,315
iOS 17 beta ina tatizo UPANDE wa sms sms hazitoki
Unajua maana ya beta, hizo ni testing enviroment, sasa ww unaetumia kama complete os lazima yakukute
Mm ndio Naitumia wakitoa version 2 itafix
Si u restore previous iOS....Achana na Beta
Si u restore previous iOS....Achana na Beta
Saizi wameshaitatua ukiapdate kwenye beta 2
Hapan nilijaribu beta 3 bado tatizo lipo niko zangu natembea na update za ios 16 tu
How? Uli update then uka downgrade?!