Interview za FINCA kwa watu wa internship ziko vipi?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
9,608
18,221
Wakuu,hivi hawa jamaa wa finca huwa wanauliza maswali gani kwenye usaili wa nafasi ya intern na mshahara kwa nafasi hiyo huwa ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…