Kwa jicho la weledi ni kwamba katika timu ya watakatifu waliowazunguka Majaliwa na JPM wapo wanaouza taarifa kwa watuhumiwa watarajiwa......“Nataka unieleze ni kwa nini ulitoa maelekezo ya kufunga mita hizo, na kwa nini jana uliamua kubadili uamuzi huo? Ni kwa nini umeamua kuchukua maamuzi haya baada ya kupokea ujumbe wa simu ya mkononi (sms) wakati mita zimekaa bila kufanya kazi kwa miaka mitano? Ni kwa nini umeamua kufanyia kazi ujumbe wa sms wakati unajua Serikali inafanya kazi kwa maandishi rasmi?” alisema Waziri Mkuu.....
Hapo ni bandarini tu je maeneo mengine yalio kwenye fificho sikuna uozo mwingi sana! kuna Yule Waziri sijui wa nn alisema anawapa polisi sijui siku ngapi wampeleke majina yote ya wauza unga hadi Leo Sijawahi kumwona tenaKazi bado ni kubwa sana........
Hapo ni bandarini tu je maeneo mengine yalio kwenye fificho sikuna uozo mwingi sana! kuna Yule Waziri sijui wa nn alisema anawapa polisi sijui siku ngapi wampeleke majina yote ya wauza unga hadi Leo Sijawahi kumwona tena
Kuna kila dalili kwamba mambo hayaendi kama yanavyopaswa kwenda kwa sababu wana wa uovu wamejipanga vyema kweli kukwamisha...
Ikumbukwe Gap iliyopo baina ya walionacho na wasionacho imejengwa kwa umakini mkubwa na viongozi wetu ambao badala ya kutimiza wajibu wao walitumia ofisi za umma kujinufaisha kiasi kwamba leo tuna matajiri wa kutisha ambao kihistoria walitoka familia fukara wakaja wakawa viongozi na baada ya hapo historia ikabadilika.....
Intelejensia ijiangalie ktk hili
Na walivokuwa wakisema CCM ni ile ile wewe ulielewa nini?Wanavyorukaruka unashindwa kujua nini kinaendelea.......kuna hao polisi......kuna wale waliopewa siku 7 kulipa kodi........
Mambo ni mengi sana......lakini hakuna kitu hata kimoja kinachofanyika....nilikuwa nasubiri siku 100 lakini zimeisha hakuna lolote........
Ndio hapo sasa....nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu
watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '
Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe
Kwa east Africa Tanzania ilikuwa sio nchi ya kulialia lkn ndo hivyo tena penye hamna hamna tu kwakweli,
Kuna majizi huwa tunayataja humu kila siku JPM hasikii, sasa tumsaidiaje? Kuna majitu yamekubuhu kwa rushwa na figisu, lipo li Mwakyembe, kuna Li Muhongo, Kuna li Simbachawene, kuna li kipara februari marope. Ukiwa na haya majitu kwenye baraza la mawaziri tegemea hujuma kila dakika. Ni majitu ya figisu. Acha raisi wangu JPM avune alichopanda
Mkuu ni kweli km ingekuwa inawezekana tungefanya hivyo hata kwa mwaka mmoja tu, aiseee Ng'ombe wa masikini hazai, kwa Mara ingine thabitisha huu msemo,Mbona hata Kagame kasema bandari ya Dar pekee inatosha kwa Tanzania. Mkuu pengine hii nchi tumkodishe Kagame aje atufundishe maendeleo!
nguruvi3 kila siku anahubiri mfumo humu
watu bado mnaamini kwenye 'individual brilliancy '
Kungekuwa na mfumo waziri mkuu wala asingekwenda bandarini
ingejulikana meter ni mbovu na mhusika mzembe