Injini za Boti aina ya Mercury 40hp 2 stroke zinauzwa

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
5,380
13,858
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.

Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono.

Engine ni ya carburetor na used kutoka Africa kusini.
253196D3-5FB4-4B54-A0FD-7357F9E58FD0.jpeg



Engine bei ni shillingi 2.5million, Location Dar es Salaam.

Kwa walio mikoani utatumiwa kwa gharama zetu mpaka ulipo.
Contact: 0655361223
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom