Ingieni kwenye page ya Ntibazonkiza kule Insta, anadai wanampigia simu kumrubuni

ni aibu mwanaume kupropagate jambo ambalo huwezi ukalithibitisha.....uongo wa mwanaume, mara nyingi huzua mizozo, ugomvi na hata vita.
 
Uongo sio sunna, acha kupotosha.
 
Mambo mengine ata kama lengo ni propaganda Yana Kuvunjia heshma wewe na Jukwaa la michezo Kwa ujumla.

Ni Bora utunge stori Yako ya uongo na kuiwekea mbwembwe ivutie kuliko kumhusisha mtu ambaye anaweza kutupiwa lawama na Kuvunjiwa heshma bila yeye kuhusika na upuuzi wako.
 
kama napropagate c uthibitshe kwenye insta

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Ndipo uelewa wako ulipoishia?? Rage aliona mbali kuwaita mbumbumbu!!
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuanzisha mada ambayo haina ushahidi wowote! Unaleta habari zako za insta, jamii forums!!

Ukiitwa mbumbumbu utafurahi, au utanuna?
 
matumaini ya nyau yapo geita hii inachekesha sana

basi tungeuliza mechi ya nyau nani alicheza chini ya kiwango hadi mkashindwa shinda
 
Usiwe choko na ww, kama napropagate c uthibitshe kwenye insta

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa haustahili kuwepo humu kutokana uwezo wako kiakili upo chini sana. Habari umeileta wewe badala ya kutoa habari yenye ushahidi unakuja kutukana watu mnaopishana kimawazo.
Kwanza umethibitisha kama huo ni ukurasa rasmi wa Saidoo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Unawashwa washwa na Yanga sana. Pambana na ice cream kwanza
 
Bora kutoshabikia mpira. Kwanini uteseke hivi kiongozi.
 
Wewe shoga umekuja kutafuta mabwana huku,Siku hizi umeacha kutafuta mabwana Pm.?
 
Huyu bwege mtoa mada matumaini yao ni kwa Geita kudodosha yanga baada ya wao kupigwa cha mkwezi na Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…