Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Kwa mtitiririko huu wa matukio na tuhuma mbalimbali dhidi ya bwana Bashite na jinsi boss wa Bashite anavyoyachukulia(msimamo wake) ingekuwa ni katika nchi za wenzetu hata mkulu angehojiwa ni kwanini anaonekana kuzipuuza tuhuma hizi badala ya kuchukua hatua kama ambavyo wengi wamekuwa wakimtaka au wakimtarajia.
Ndio Maana kaainisha nchi za wenzetu sio Hapa bongoKwa Katiba ipi ya Tanzania Mkuu?
Umeelewa nilichoandika?Kwa Katiba ipi ya Tanzania Mkuu?
Nenda kaishi kwenye nchi za wenzenu kisha mchumguze, au mwambie kimambi amchunguze maana yuko nchi ya wenzetu.Kwa mtitiririko huu wa matukio na tuhuma mbalimbali dhidi ya bwana Bashite na jinsi boss wa Bashite anavyoyachukulia(msimamo wake) ingekuwa ni katika nchi za wenzetu hata mkulu angehojiwa ni kwanini anaonekana kuzipuuza tuhuma hizi badala ya kuchukua hatua kama ambavyo wengi wamekuwa wakimtaka au wakimtarajia.
Umeelewa nilichoandika?
Hahaha mnatia hadi huruma team GwajimaNdio Maana kaainisha nchi za wenzetu sio Hapa bongo
Hilo suala hamtaki kuamini kama haliwezekaniHivi wabunge hawawezi kufanya jambo hili , kwa hali ilivyo kuna haja ya kumfuta mtu kazi , potelea mbali .
Pamoja sana kamanda.Pole Mkuu Bashite kanichanganya hadi nimejikuta nimekengeuka. Samahani sana Mkuu hata hivyo kuna Jamaa hapo kanipa ufafanuzi na nimeusoma tena na kuuelewa. Naomba radhi mno Mkuu. Huyu Bashite huyu kudadadeki zake!
Pamoja sana kamanda.
Bado tuna safari ndefu sana mkuu.Hivi wabunge hawawezi kufanya jambo hili , kwa hali ilivyo kuna haja ya kumfuta mtu kazi , potelea mbali .
Bora mie team gwaji boy,kuliko wewe walking deadHahaha mnatia hadi huruma team Gwajima
Korea kusini hata Brazil marais wamesimamishwa kazi kwa mambo ya ajabu ajabu hata kuke Africa kusini Rais akizingua huitwa bungeni kujielezaKwa mtitiririko huu wa matukio na tuhuma mbalimbali dhidi ya bwana Bashite na jinsi boss wa Bashite anavyoyachukulia(msimamo wake) ingekuwa ni katika nchi za wenzetu hata mkulu angehojiwa ni kwanini anaonekana kuzipuuza tuhuma hizi badala ya kuchukua hatua kama ambavyo wengi wamekuwa wakimtaka au wakimtarajia.
Nihitinishe kwa kusema:
Kama fulani ndio kamponza fulani,basi nae karma haitamuacha.