jikuTech
Senior Member
- Apr 9, 2023
- 138
- 194
NINI MAANA YA KOMPYUTA
Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo. Inaweza kuchakata hesabu za nambari na zisizo za nambari (hesabu na kimantiki).Mwanzoni kabisa ilikuwa ikijulikana kwamba mtu anae fanya mahesabu makubwa na kwa ufanisi basi ndio walimwita Kompyuta lakini kwa sasa hivi Kompyuta imekuwa ni kifaa kinacho tumia umeme kinacho fanya kazi automatic kwa kuongozwa na mtumiaji kwa namna anayo itaka yeye
Historia ya Kompyuta kwa ufupi.
Kabla ya yote kwenye ufahamu wako tambua kwamba Kompyuta ni kama neno Computing ambalo linashabiiana na neno calculating na pia neno calculating ni sawa na kurahisisha yaani simplifyingKompyuta —>>> Computing
Computing —-->>>>Calculating== calculator
Calculating →>> Simplifying
Hayo ni mambo ambayo mtu unatakiwa kufahamu katika kichwa pindi unapo skia neno Kompyuta
Tuendelee,,,,, Watu wa zamani walitumia vijiti, mawe na muda mwingine mifupa kufanya mahesabu yao na hivyo vilikuwa kama vifaa vya kuhesabia
Lakini maendeleo ya ubongo wa mwanadamu na Kukua kwa technology kuliendelea na kupelekea kuwepo kwa mapinduzi mbalimbali.
Muda ulivyo zidi vifaa vingine vilikuwa vikigunduliwa
Katika ugunduzi wa Kompyuta devices
Kuna vizazi vingi ambavyo ni kama mabolesho matano yaliyofanyika kutoka ugunduzi hadi sasa. Hadi sasa tupo kwenye generation ya tano ambayo ina:-
Desktop Kompyuta
Laptop Kompyuta
Note-Book
Utla-Book
Chrome-Book View 04
Bonyeza HAPA Ingia kwenye mafunzo haya, Ujifunze moja kwa moja