Infinix HOT 12i haioneshi chochote

Haidisplay chochote ila sauti unasidikia?

Anyway Jaribu kushilikia kwa pamoja volume up na down kwa pamoja then shikilia power button angalau sekunde 30. Leta mrejesho.
Yaani screen ilizimika ghafla kwenye screen sioni kitu kabisa hakuna cha sauti wala display
 
Mkiambiwa hizo sio simu mnakaza fuvu..
Haya sasa kula chuma hicho
Mwenye V8 na IST wote wakienda Mbeya watafika maana matairi yanazunguka
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
Aliyekupa wewe kipangusio ndio huyo huyo aliyenipa kitochi
 

Attachments

  • goat.PNG
    goat.PNG
    138.4 KB · Views: 8
Nimenunua simu ya Infinix HOT 12i hata mwaka haujaisha juzi ghafla imekufa bila kudondoka hai display chochote naombeni msaada tafadhali anayejua sababu
Chukua waya Chomeka kwenye simu na pc unasikia ile beep kwamba kifaa kimekua connected na Computer? Kama ndio ina maana simu machine nzima ni tatizo tu la software ama display.

Ila kama hata computer hai detect ni hardware issue, peleka kwa Fundi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom