India yapiga marufuku Dawa 156 za FDC, zadaiwa kuhatarisha maisha

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,129
1,946
India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk

Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo

Miongoni mwa dawa hizo ni 'Aceclofenac 50mg + Paracetamol 125mg vidonge', Mefenamic Acid + Sindano ya Paracetamol na Cetirizine HCl + Paracetamol + Phenylephrine HCl

Pia soma: WHO yadai Dawa ya Kifua 'Benylin Paediatric Syrup' iliyogundulika kuwa na Sumu haipo kwenye soko la Afrika

Taarifa ya Wizara ya Afya ya India imesema inatambua kwamba kuna aina 156 ya dawa za FDC zinazoweza kudhuru binadamu, hivyo ni muhimu kupiga marufuku utengenezaji, uuzaji, au usambazaji wa dawa hizo kwa maslahi ya Umma

Wizara ya Afya imesema sababu mojawapo ya hatua hii ni kutokana na mamlaka za kutoa leseni katika baadhi ya Majimbo, kutoa leseni za utengenezaji wa FDC kadhaa bila idhini ya Shirika Kuu la Kudhibiti Madawa (CDSCO), na hivyo kusababisha uwepo wa FDC ambazo hazijajaribiwa na zinazoweza kuhatarisha Maisha

Ikumbukwe, mnamo Machi 2016, India ilipiga marufuku dawa 344 za mchanganyiko huku Juni 2023 ikipiga marufuku Dawa za FDC

...............

May I have this in a good swahili India bans 156 fixed-dose combination drugs used for fever, pain, allergies
Ekta Batra
~3 minutes

India has banned 156 widely sold fixed-dose combinations or FDC drugs with immediate effect, citing concerns about their irrationality and potential risks to human health with safer alternatives available.

FDCs are also called 'cocktail drugs' as they combine two or more active pharmaceutical ingredients (APIs) in fixed ratios.

The latest list of banned drugs covers various therapeutic areas from pain and fever relief, antiallergy treatments, antibiotics, medications for acidity and nausea, joint and arthritis treatments, and health supplements.

"The FDC may involve risk to human beings. Hence, in the larger public interest, it is necessary to prohibit the manufacture, sale, or distribution of this FDC under section 26 A of the Drugs and Cosmetics Act 1940," a notification from the health ministry read.

One of the reasons for the crackdown was due to some state licensing authorities issuing manufacturing licenses for several FDCs without prior clearance from the Central Drugs Standard Control Organisation (CDSCO), leading to the availability of untested and potentially unsafe FDC combination drugs.

This action follows previous bans. India banned 344 combination drugs in March 2016 and, most recently, 14 FDCs in June 2023.

According to reports, the latest list includes certain products which were already discontinued by many drug makers.

The impact of the latest ban is expected to be limited for large pharmaceutical companies, which have begun being cautious about irrational FDCs.

But smaller companies, according to analysts, may be affected. Larger pharma companies would be less impacted as they can innovate to create different combinations which are not banned and overall focus on the safety aspect even more.

According to the notification issued by the health ministry, the government has banned 'Aceclofenac 50mg + Paracetamol 125mg tablet'. The list also includes Mefenamic Acid + Paracetamol Injection, Cetirizine HCl + Paracetamol + Phenylephrine HCl, Levocetirizine + Phenylephrine HCl + Paracetamol, Paracetamol + Chlorpheniramine Maleate + Phenyl Propanolamine, and Camylofin Dihydrochloride 25 mg + Paracetamol 300mg.

The Centre also banned the combination of Paracetamol, Tramadol, Taurine, and Caffeine. Tramadol is an opioid-based painkiller.
 
India ni mafundi Maiko wa madawa ambao bahati mbaya sisi wenye uwezo mdogo tunamudu hizo dawa zao tu.
Watu wenye hela na uelewa watatumia brands za kina Moderna, Pfizer, Johnson & Johnson, Bayer na wenzao. Kuna siku niliumwa mgongo nikiwa kwa mzee mmoja kwenye ukoo aliniita nirekebishe simu yake, akanipa dawa za maumivu za Pfizer dakika chache maumivu yakaisha. Dawa zile hazina harufu, hazikereketi, humezi baadae ukahisi ukakasi mdomoni. Wakati haya madawa ya maumivu bongo lazima tu ningesikia.

Siku nyingine nikawa nae kwenye gari tukazunguka mji mzima kutafuta dawa ya kawaida sana ila akaja ipata Nakiete Mwenge, kwingineko alikuwa anapata dawa za Kihindi hataki. Kama kwenye magari tulivyoikumbatia Toyota, hata kwenye madawa hivyo tunapenda kukariri Wahindi. Afya ni biashara badala iwe huduma, dawa za jumla 600 mtu ananunua akauze rejareja 2000 habari za ubora hataki kujua.
 
Back
Top Bottom