Maneno ya uchochezi hayoGuess who will become next target
Kwan VPN zimeishaaa...labda wafungie na play storeWakitufungia sijui itakuwaje
Unajifanya Mpakistani maisha yanaendelea.Kwan VPN zimeishaaa...labda wafungie na play store
HahahahUnajifanya Mpakistani maisha yanaendelea.
Hata wafanyaje tutawarapua tu... Ndo maaana kuna missiles na ant missiles. Wakituma kombora sie tunadungua tu.Wakifunga mlango huu tutatokea huu,
Ili mradi tu wasizuie kuflow kwa data,
Wakifunga tunatengeneza new social media
Server yake kwa sayari ya mars.
Naona tcra washaanza kutest hub zao ikitokea hali kama hiyo ni sekunde tuCameroon kusini wenyewe walifungiwa, wamefunguliwa juzi hapa.
Not to that extent