msaidizimkuu
Member
- Jul 5, 2020
- 39
- 10
Habari wadau napenda kuuliza niweze kujuzwa baadhi ya mambo kuhusu kada ya udereva. Nimekuwa nikitaka kufanya kazi Serikalini ya udereva hivyo sikuwa na leseni kwa wakati huo ila kwa sasa nipo VETA nasomea Basic Driving ila lengo langu nipate cheti niweze kusomea VIP pale NIT lakini leseni sikuwa nayo ila kuna mwalimu wa VETA kanambia kuwa anaweza kunifanyia mpango wa kupata leseni ya madaraja yote ili nikimaliza kusoma hii BASIC niunganishe NIT.
Swali langu, Je hii inawezekana maana niliambiwa mpaka usome NIT kozi ya VIP mpaka leseni iwe ime expire na ku expire mpaka miaka mitano au kupata daraja la C au E hivyo naomba kujuzwa naweza nikafanikiwa nikimaliza hiyo Basic nikaunganisha NIT kwa kuwa leseni yangu ina Class zote japokuwa ya kuendesha mabasi, naombeni kujuzwa ndugu zangu.