Naona hii mitandao inaZingua sana na matangazo yao ya 4g kama vile kila simu inasupport. Inawezekana kweli kuhamia 4g kama inavyowezekana kuhamia marshimallow?
Naona hii mitandao inaZingua sana na matangazo yao ya 4g kama vile kila simu inasupport. Inawezekana kweli kuhamia 4g kama inavyowezekana kuhamia marshimallow?
Case ya kuwezesha simu ya 3G kuwa 4G kwa kupitia software update ni nadra na kwa almost simu nyingi haiwezekani. Kuna model ya simu ya Nokia Lumia ilikuwa 4G lakini ilitoka kiwandani enabled 3G peke yake lakini baadae walitoa update ya kuwezesha 4G.
So hii ni mostly hardware issue or otherwise inawezekana kwa sababu maalum tu na kwa kifaa maalum kilichokusudiwa.