Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,310
- 9,624
Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini.
Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil Ronaldinho. Ronaldinho wa Brazil alitembelea Afrika Kusini hapo awali, na hivyo imezua mzaha kuwa aliacha mtoto.