Ok.. kwahiyo 4G inakula kuliko 3G na 5G kuliko 4G!?
Basi tutakufa masikini kulaleki.. uspokuwa makini.
Nimeswitch opt. nimerudi kwa 3G/H+
Aisee..Ni kweli 4G inakula sana bando kuliko 3G.
Mimi natumia Tigo 4G hapa kwangu inakula Mb 30 per second.
Kabla ya kulalamika mtandao husika unakuibia bando tizama kwanza internet speed.
Unaunga Gb 1 halafu speed ni Mb 30 Per second unategemea nini!
Aisee..
Ni hatari.
😳😳😳Ni vile tu yule waziri mwenye wizara inayohusika na haya mambo sio mtaalam Kwenye haya mambo.
Angekuwa ni mtaalam angetumia hizi point kuwajibu wanaolalamika kuibiwa bando.
Kingine kwa sehemu ambazo Tigo wana 5G, per second inakula Gb 1
Mapema mi nilishastukia iyo isuNimeswitch tayari mkuu.. ila nishapigwa mnoo.. hadi nikawaza kuingia ktk hizo options.
Sasa unaunga mb za jero unategemea nnNaomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G..
Maana bundle halikai kabisa.
Ahsante.
Mkuu huu ni ujambazi.. ni kuwafukarisha watu.. 1GB per second!!!?
Internet na gari ni vitu viwili tofauti, gari inapokuwa kasi matumizi ya mafuta yanapunguwa lakini ni tofauti na Internet.Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G..
Maana bundle halikai kabisa.
Ahsante.
Well said mkuu .Internet na gari ni vitu viwili tofauti, gari inapokuwa kasi matumizi ya mafuta yanapunguwa lakini ni tofauti na Internet.
Kama huna mambo mengi kwenye internet tumia 3G utapunguza matumizi ya bundle na Sasa vitu vimepanda bei, bundle zimepanda bei na maisha yamekuwa magumu ni maamuzi sahihi.
Sasa mtu unatumia JF tu au na Facebook na WhatsApp tunataka speed kubwa ya internet ya kazi gani?
Hizo speed hadi 5G kuna watu wana kazi zao zinazohitaji speed kama kwenye mashirika mabenki, TRA and likes siyo wewe na infinix yako ukadhani 5G Ina maana yoyote kwako.
Nimedelete all unnecessary apps ...Ebu vile vile angalia katika setting zako,ni app gani inatumia bando Sana.
Mfano Mimi kuna wakati nilikuwa napagawa nakuwa na GB moja hlf inaisha fasta ,kuja kuchek kumbe YouTube nilikuwa napakua video hlf nikajisahau,kwahiyo kila nikiweka bando video inaendelea kupakuliwa na huku mzigo unaisha fasta