Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 967
- 2,241
Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao.
Dulla hawaoni hawa? Pesa anapeleka kwa maadui wetu akina Wanja? Hawa ndo wanaenda tena kupewa mshiko? Kwa kazi gani?kutukashifu na kukashifu Chama? Ni kama mwanaume ambaye ana demu anayempenda sana ila yeye hana hisia naye. Demu anafua nguo za jamaa na kufanya usafi ila jamaa anamtaka slay queen mmoja ambaye anamchuna tu.
Inakatisha sana tamaa. Mama Dulla na mwanao Dulla tuangalie na sisi. Maana mchongoaji Msiba anakula shushu tu kwa kutoka kule CBM kuja huku SSM huyu miaka mingi ametutusi na kututusua. Leo yeye ndo anapewa posho kuzunguka mikoani na ya kujikimu. Sisi tunagongea hata pesa ya bundle. Mwanaishambwa angalau anapata toka kwa Kafulia au Makonde. Sisi wengine? Si sawa. Huo ni ukorofiiii. Ukorofii huo. Ina maana sisi wengine tusipate mshiko.wapate wao tu?huo ni ukorofi.