Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,101
- 907
Ndugu zangu, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama.
Hii inatosha ama mnataka nani atekwe kisha ndiyo tuje kuona kazi nzuri ya serikali kupitia vyombo vyake vya usalama vikifanya kazi.
Binafsi naona inatosha Sasa, inabidi pale inapotokea wasiojulikana wanaokuja kwa gia ya usalama ni kumalizana nao kwa njia ya kujihami.
Ikibidi kufa ni heri kuliko kufa ukiwa mbali na watu wanaokujua ama pasipo kuonekana umekufa na pia hutopitia mateso mengi kama ukitekwa nao.