The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,899
- 9,513
Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo
1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia?
2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.?
3. Nyama mnapewa bure?
4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.?
5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.?
6. Mnatibiwa bure na watoto wenu?
7..watoto wenu wanasoma bure shule Nzuri.?
8. Bárabara zenu ni za lamí hazina makorongo wala mabonde mabonde.?
9 watoto wenu woote wana ajira ?
10. Mna mishahara minono kwerikweri.?
11. Wanaukoo wenu woote Maisha Safi?
Afu anaotokea chalamila kashiba makande anawaamulisha?