Inasikitisha kizazi cha leo hakijui ishara

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
15,431
45,079
Hello!

Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri.

Zipo ndoto za moja kwa moja lakini mara nyingi Mungu huongea kwa ishara, na kila mtu Mungu husema naye lakini kuelewa ndio shughuli kwakuwa watu hawafundishwi ishara.

Miaka ya nyuma kidogo wazee walitufundisha ishara nyingi. Ukitoka nyumbani kwenda kazini au safarini ukiona hili jua maana yake hii.

Ukiota hivi maana yake hii, Ukikutana ghafla na mtu yupo hivi maana yake hii, na ni kweli very applicable.

Zamani wazee kwa kutazama ishara waliweza kujua kuwa mwaka unaokuja kuna njaa, shibe, vita au ajali nyingi.

Baba yangu kila mwaka alikuwa anatuambia yajayo mwaka unafuata na inakuwa hivyo. Kwa kutokujua ishara wengine wamejikuta wameingia kwenye ndoa ngumu na kutoka hawawezi. Kwa kutokujua ishara mtu huweza kukimbilia kifo ambacho kingeepukika.

Je, umewahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini nafsi yako inasema mbona huyu mtu namfahamu?

Au umewahi kufika mahali first time lakini ukahisi umewahi kufika hapo mahali? Maana yake nini?

Mungu anazungumza nawe lakini huwa hukumbuki, hutilii maanani au huelewi. Kila jambo maishani mwako lililo mbele yako au lililo sirini Mungu anakuonyesha lakini hutilii maanani.
 
Hello!
Ishara ni kitu muhimu sana,
Ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja , yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri. Zipo ndoto za moja kwa moja LAKINI
Mara nyingi Mungu huongea kwa ishara , na kila mtu Mungu husema naye lakini kuelewa ndio shughuli kwakuwa watu hawafundishwi ishara.
Miaka ya nyuma kidogo wazee walitufundisha ishara nyingi. Ukitoka nyumbani kwenda kazini au safarini ukiona hili jua maana yake hii.
Ukiota hivi maana yake hii.
Ukikutana ghafla na mtu yupo hivi maana yake hii.
Na ni kweli very applicable.
Zamani wazee kwa kutazama ishara waliweza kujua kuwa mwaka unaokuja kuna njaa, shibe, vita au ajali nyingi.
Baba yangu kila mwaka alikuwa anatuambia yajayo mwaka unafuata na inakuwa hivyo.
Kwa kutokujua ishara wengine wamejikuta wameingia kwenye ndoa ngumu na kutoka hawawezi.
Kwa kutokujua ishara mtu huweza Kila mtu kukimbilia kifo ambacho kingeepukika.
Je, umewahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini nafsi yako inasema mbona huyu mtu namfahamu?
Au umewahi kufika mahali first time lakini ukahisi umewahi kufika hapo mahali?
Maana yake nini?
Mungu anazungumza nawe lakini huwa hukumbuki, hutilii maanani au huelewi. Kila jambo maishani mwako lililo mbele yako au lililo sirini Mungu anakuonyesha lakini hutilii maanani.
Yeah!...kuweza kuzifahamu ishara ni karama pia ambazo bahati mbaya si Kila mmoja wetu kajaliwa hilo.
 
Hello!
Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja , yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri.

Zipo ndoto za moja kwa moja lakini mara nyingi Mungu huongea kwa ishara, na kila mtu Mungu husema naye lakini kuelewa ndio shughuli kwakuwa watu hawafundishwi ishara. Miaka ya nyuma kidogo wazee walitufundisha ishara nyingi. Ukitoka nyumbani kwenda kazini au safarini ukiona hili jua maana yake hii.
Ukiota hivi maana yake hii, Ukikutana ghafla na mtu yupo hivi maana yake hii, na ni kweli very applicable.
Zamani wazee kwa kutazama ishara waliweza kujua kuwa mwaka unaokuja kuna njaa, shibe, vita au ajali nyingi.

Baba yangu kila mwaka alikuwa anatuambia yajayo mwaka unafuata na inakuwa hivyo. Kwa kutokujua ishara wengine wamejikuta wameingia kwenye ndoa ngumu na kutoka hawawezi. Kwa kutokujua ishara mtu huweza kukimbilia kifo ambacho kingeepukika.

Je, umewahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini nafsi yako inasema mbona huyu mtu namfahamu?
Au umewahi kufika mahali first time lakini ukahisi umewahi kufika hapo mahali? Maana yake nini?

Mungu anazungumza nawe lakini huwa hukumbuki, hutilii maanani au huelewi. Kila jambo maishani mwako lililo mbele yako au lililo sirini Mungu anakuonyesha lakini hutilii maanani.
sasa muda wote wako on line,ishara watazijulia wapi?
 
Hello!

Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri.

Zipo ndoto za moja kwa moja lakini mara nyingi Mungu huongea kwa ishara, na kila mtu Mungu husema naye lakini kuelewa ndio shughuli kwakuwa watu hawafundishwi ishara.

Miaka ya nyuma kidogo wazee walitufundisha ishara nyingi. Ukitoka nyumbani kwenda kazini au safarini ukiona hili jua maana yake hii.

Ukiota hivi maana yake hii, Ukikutana ghafla na mtu yupo hivi maana yake hii, na ni kweli very applicable.

Zamani wazee kwa kutazama ishara waliweza kujua kuwa mwaka unaokuja kuna njaa, shibe, vita au ajali nyingi.

Baba yangu kila mwaka alikuwa anatuambia yajayo mwaka unafuata na inakuwa hivyo. Kwa kutokujua ishara wengine wamejikuta wameingia kwenye ndoa ngumu na kutoka hawawezi. Kwa kutokujua ishara mtu huweza kukimbilia kifo ambacho kingeepukika.

Je, umewahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini nafsi yako inasema mbona huyu mtu namfahamu?

Au umewahi kufika mahali first time lakini ukahisi umewahi kufika hapo mahali? Maana yake nini?

Mungu anazungumza nawe lakini huwa hukumbuki, hutilii maanani au huelewi. Kila jambo maishani mwako lililo mbele yako au lililo sirini Mungu anakuonyesha lakini hutilii maanani.
Mkuu Bado sijakuelewa unataka nini/au nini kifanyike.

Je unataka kutoa elimu /kushusha nondo, kama ni hivyo mimi nipo tayari maana nishakutana na mambo na nikisha kutana nayo anafahamu fika hili jambo si lakawaida ni lazima litadhihilika mbeleni, na baada ya miezi kadhaa linatokea tukio linalohusiana na mambo uliyoyaona lakini sio moja kwa moja kiasi kwamba ungesema ufikilie kipindi kile cha nyuma ulivyoona unaona kabisa nisinge ng'amua hili tukio.

Mfano kwenye biblia ndoto aliyoota PHARAOH ng'ombe na masuke 7, ile ndoto piga ua garagaza bila YUSUFU asingejua maana yake.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom