Kidabwenge
Member
- Oct 20, 2019
- 20
- 58
Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto.
Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake hii imekaaje wakuu?
Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake hii imekaaje wakuu?