mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,133
- 49,575
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua
Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure
Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,
hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza