trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,597
- 8,579
Habari zenu jamani,
Leo nimekaa nikafikiria sana hivi inakuwaje mtu mzima mwenye akili zake timamu anakubali kupigwa picha za uchi kweli jamani? Unakuta mdada mrembo kabisa anaweka na mapozi apigwe picha tena mbaya zaidi nyingine anazipiga mwenyewe na kumtumia mtu wake. Hata kama mapenzi yanakuwa yamenoga, usikubali, kataa tena kataaa.
Je, unajua madhara yake?
Siku hizi kuna trend mpya wanaume pia kupigwa picha za uchi khaa....baba mzima anategesha dushe lake anapigwa picha halafu hadi sura inaonekana kesho na keshokutwa zinavuja mitandaoni aibuuuu.
Hebu imagine simu imepotea, au ipo kwa fundi akaziona hizo picha akavujisha au tuu mmegombana na mpenzi wako akaamua kuzitoa mitandaoni. Unayeaibika sio wewe peke yako una ndugu na familia nyuma itakayodhalilika kwa sababu yako.
ANGALIZO: Wanaume mnaopenda kununua malaya na kubadilisha wanawake kama nguo, kuweni makini sana mnapigwa picha za uchi bila kujua zinasambazwa kwenye magrupu ya telegram huko.
Unakuta unatumiwa screenshot unaulizwa "huyu sio mume wako/ baba mtoto wako kweli?? Amepozi na kadelibolo kake ni aibu