just-imagine JF-Expert Member Aug 18, 2015 374 449 Mar 22, 2016 #2 Hyo research uliifanyia wap mkuu...?
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,826 5,301 Mar 22, 2016 Thread starter #3 mkuu research yangu nilifanya sehemu nilizotembelea random sampling
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,826 5,301 Mar 22, 2016 Thread starter #4 wakuu tupunguze kuwagegeda tu na kuwa dampo ..muda wa kuwaweka ndani . ntatangaza ndoa muda sio mrefu .
wakuu tupunguze kuwagegeda tu na kuwa dampo ..muda wa kuwaweka ndani . ntatangaza ndoa muda sio mrefu .
BigBro JF-Expert Member Jan 9, 2010 3,478 11,032 Mar 22, 2016 #5 Sasa wewe inakuhusu nini? Hayo ni maisha yao waliyoamua kuishi.
Kibwengo JF-Expert Member Jul 29, 2015 6,826 5,301 Mar 22, 2016 Thread starter #6 wanao watetea kuna maslahi binafsi zaidi ya kuwasaidia ..
sumbai JF-Expert Member Jun 16, 2014 19,797 44,774 Mar 22, 2016 #7 Form four kamaliza na miaka 18 or 19 probably kafeli unataka hapo hapo akajitegemee... Chuo kamaliza na miaka 24,25 hajapata kazi au mume unataka akajitegemee immediate ly.... Kwa mfumo Wa maisha ya sasa jinsi vile Hamna fomular labda ungesema kuanzia 24 na kuendelea hvi ila 18 paka 24
Form four kamaliza na miaka 18 or 19 probably kafeli unataka hapo hapo akajitegemee... Chuo kamaliza na miaka 24,25 hajapata kazi au mume unataka akajitegemee immediate ly.... Kwa mfumo Wa maisha ya sasa jinsi vile Hamna fomular labda ungesema kuanzia 24 na kuendelea hvi ila 18 paka 24
K kotelyimola JF-Expert Member Oct 9, 2015 1,457 1,504 Mar 22, 2016 #8 kibwenzi said: mkuu research yangu nilifanya sehemu nilizotembelea random sampling Click to expand... Siyo systematic random sampling angalau baadala ya cost sampling
kibwenzi said: mkuu research yangu nilifanya sehemu nilizotembelea random sampling Click to expand... Siyo systematic random sampling angalau baadala ya cost sampling
G G'ze! Senior Member Jan 10, 2016 188 70 Mar 22, 2016 #9 Duuh!!hii ni hatari Yan wa2 mnakaz ya kuwaza ya wenzenu tuu(private issue)pole zenu!!
LadyRed JF-Expert Member Mar 19, 2016 9,636 11,480 Mar 22, 2016 #10 Miaka 18 ujitegemee kwa kipato kipi? Wachache sana kwa umri huo wanakua washaanza kutengeneza pesa
ERoni JF-Expert Member Jan 9, 2013 46,747 100,729 Mar 22, 2016 #11 Ukiishi bila kuangalia fulani/jirani au rafiki anaishije, utakuwa mwenye furaha na amani sana. Kila familia ina utaratibu wake, wewe ni nani kuuliza jinsi watu wanavyoishi na kuwapangia jinsi ya kuishi?
Ukiishi bila kuangalia fulani/jirani au rafiki anaishije, utakuwa mwenye furaha na amani sana. Kila familia ina utaratibu wake, wewe ni nani kuuliza jinsi watu wanavyoishi na kuwapangia jinsi ya kuishi?
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 Mar 22, 2016 #13 kibwenzi said: wakuu tupunguze kuwagegeda tu na kuwa dampo ..muda wa kuwaweka ndani . ntatangaza ndoa muda sio mrefu . Click to expand... Kama hawasomeki na wanaringa, acha tupooze tu injini zetu kisha tuendelee na safari wabaki wakiisoma namba!
kibwenzi said: wakuu tupunguze kuwagegeda tu na kuwa dampo ..muda wa kuwaweka ndani . ntatangaza ndoa muda sio mrefu . Click to expand... Kama hawasomeki na wanaringa, acha tupooze tu injini zetu kisha tuendelee na safari wabaki wakiisoma namba!
EMMYGUY JF-Expert Member Aug 6, 2015 11,094 25,336 Mar 22, 2016 #14 Wanasubiri mume bora atokae kwa Mungu.