Inakuaje Rwanda Inaagiza Bidhaa Nyingi Kutoka Kenya Badala ya Tanzania Ambayo Tuna Share Mpaka?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
59,059
69,736
Kwa mujibu wa takwimu za kibiashara,Rwanda imepunguza kuagiza bidhaa kutoka Tanzania Kwa takribani asilimia 60% na kuanza kuagiza bidhaa kutoka Kenya Kwa Wingi zaidi.

Yaani Kenya ambayo Haina Mpaka na Rwanda inafaidika zaidi kibiashara kuliko Tanzania ambayo Ina mpaka na Rwanda.

Kwamba Bidhaa ambazo Rwanda inaziagiza Kenya Haipatikani Tanznaia au Kuna shida mahala? Wataalamu tunaomba majibu.
Rwanda Now Prefers to Import from Kenya, Not Tanzania Rwanda Now Prefers to Import from Kenya, Not Tanzania
 
Toka wauziwe Dp world bandari yetu imekuwa na huduma mbovu sana kuliko ilivyokuwa awali japo kuwa wachumi uchwara wanadai imeimarika lakini ukweli Hali ni mbaya sana ndiyo maana Nchi zilizokuwa zikitumia hii bandari zimetuhama.Na siyo tu Rwanda walioikimbia bandari ya dar Bali na Uganda,Drc,Zambia na Burundi wote wametukimbia.
 
Huu uongo unajaribu kumnufaisha na I?
 
Kuna chama kipo madarakani hapo hakijui nini cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…