Inakuaje mtoto anakuwa na akili kumzidi mzazi wake?

Manfried

JF-Expert Member
Oct 11, 2024
1,138
3,589
Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana .

Mtoto unampeleka polini analala nje .

Mvua na jua yote yake

Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi.

Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda shule.

Na mwisho anatokea msamalia Mwema na anafanikiwa kupata mfadhali wa kumsomesha na kila kitu kinabadilika.

Is About shit nigga

Kwa dunia ya sasa Ng'ombe , mbuzi mashamba havina thamani Kama zamani.

Tupo dunia ya teknolojia so hakikisha mtoto Ana so ma

Nyie wazazi wapumbavu wa vijijini Hizo Ng'ombe na Mbuzi sio utajiri wala maisha

Utajiri ni akili.


View: https://youtu.be/-H9mzc9miXc?si=hVX424AMMRJ_cdYX
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom