Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kama Mungu, Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano Mkuu hata kukiwa na Uovu!

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,870
5,045
Wakuu

Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake.

Msikilize Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla akiwa Wasafi FM akizungumziwa sakata la kutimuliwa uanachama Dkt. Malisa

 
Wakwanza huyu anaohopeka na vijana sababu yeye ni kijana.
IMG_0612.jpeg
 
Back
Top Bottom