Inajulikana na kuandikwa kama Christmas. Sasa kuandiaka X-Mass ni kumkufuru Yesu Kristo!

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
6,042
17,310
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa!

Andika " Christmass" likiwa na maana " Kusanyiko la Yesu Christo"
 
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa! Andika " Christmass" likiwa na maana " kusanyiko la Yesu Christo"
Mmeshaanza sasa

Wabongo mna tabu tupu za kiimani

Yani hamuenjoy vitu vidogo duniani kwa maana mnaendekeza mambo ya kufikirika sana

SHAME
 
👇
 
Attachments

  • 20241220_071238.jpg
    20241220_071238.jpg
    85 KB · Views: 3
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa!

Andika " Christmass" likiwa na maana " Kusanyiko la Yesu Christo"
X ni herufi ya kwanza ya jina Kristo katika Kigiriki
 
Kabla hatujawa na dini ilibidi tuwe na elimu kwanza otherwise tunateketea sana kwa kukosa maarifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom