mnunity
Member
- Jun 16, 2024
- 8
- 7
Kuna Kijana alishauri kama Tanzania kuna Chama cha Walimu, sijui Chama cha Madaktari, sijui Chama cha Wanasheria na vigezo na Masharti vinazingatiwa kwa member wa hivyo vyama
Mfano kama Mwanafunzi awezi kujiunga chama cha Walimu au Engineer awezi jiunga chama cha Wanasheria kama hana vigezo
Lakini ni tofauti kwenye upande wa vyama vya siasa kwanini Wananchi wanahusishwa wakati ni chama cha wanasiasa kwanini wananchi wasiachwe neutral wawaachie wenye uhitaji wa kuwa wanasiasa ndo wawe member wa hivyo vyama na kuwe na vigezo na masharti na uwezo wa mwanasiasa kupata chance ya kujiunga kwenye chama chochote cha siasa
Wachaguane wenyewe yupi anafaa kuwaongoza wajipange sera zao then mwisho wa siku ndo walete siasa zao kwa watu neutral ambao ni wananchi ili wachague chama gani cha siasa kinaweza kutuongoza kwaiyo mfumo wa kuandikisha wananchi kwenye vyama uvunjwe