NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha
SWALI LANGU: ina maana mikataba wanayosaini yanga sc ni mikataba feki au ni ya laki laki anbayo haikidhi na haiwezi kukusanya pesa za kutosha na kumlipa kambole??
SWALI LANGU: ina maana mikataba wanayosaini yanga sc ni mikataba feki au ni ya laki laki anbayo haikidhi na haiwezi kukusanya pesa za kutosha na kumlipa kambole??