blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 11,732
- 14,586
Ina tija gani?
Halafu ili iwe nini?
Na kwanini?
Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?
Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi?
Hizi shule ambazo serikali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake?
Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average, wote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.
Hii inakaaje. tamisemi sijui Wizara ya elimu tupeni majibu.
How come effort brings you to disappointment than achievement?